Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo barani Afrika, Bi. Anna Kulaya,
Wachezaji wa Yanga wakishangilia moja ya mabao ya mshambuliaji Mrisho Ngasa wa kwanza kushoto
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013
Jinsi moto ulivyokuwa unaunguza soko la mitumba la Karume jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.