Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa 'Africa World Heritage' kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Phaustine Martin Kasike.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha kamishna Diwan Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 22,2016