Mbunge wa Arumeru Magharibi, Godluck Ole Medeye (kushoto) akiteta jambo na waziri Mkuu Mizengo Pinda bungeni mjini Dodoma hivi karibuni.
Picha ya Mzee Onyango
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Burundi ,Intamba mu Rugamba' wakiimba wimbo wa taifa lao kabla ya moja ya mchezo