Mkuu wa MICT tawi la Arusha Bw. Samuel Akorimo, akisalimiana Balozi Irene Kasyanju.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013