QUICK PROFILES

LUKAS CORNELY
+

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 4 kaka SINA, dada NDIYO NINAE

Ninaishi BOKO MALIASILI

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA SOJEY D 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (&)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) SINA SHUGHULI YOYOTE ZAIDI YA DANSI

MAGANGA AMILI
+

Nimezaliwa mwaka 1986 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 6 Nina kaka 3 na dada 2

Ninaishi TEGETA na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa DOGO MALOW

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MPIRA

 

JACKSON JOHN
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR

Mimi ni mtoto wa KIUME katika familia ya watoto 3 Nina kaka HAPANA na dada NDIO

Ninaishi TEGETA 

Mtaani kwangu najulikana kwa KUCHEZA DANSI

Mimi nimesoma mpaka FORM ONE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi ) ni: BAJAJI

 

TAMIMU MAHMOUDU HASHIM
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya KIBAHA Mkoa wa PWANI

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 10 Nina kaka 1 na dada 2

Ninaishi KWETU na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa T- WARA WARA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA ( 7 )

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KAZI NDOGO NDOGO ZA KUNIINGIZIA KIPATO.

JOHN EMANUEL
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 1 katika katika familia ya watoto 3

Ninaishi TEGETA KWA NDEVU na MTAA WA SANGARANZA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE 

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: BAJAJI

KIPARAMBA SANGARAZA
+

Nimezaliwa 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina KAKA 1 na DADA 3.

ninaishi TEGETA na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANSI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: BIASHARA NDOGO NDOGO

 

Group Videos

NUSU FAINALI - Mazabe Powder
NUSU FAINALI - Mazabe Powder
Play Video
NUSU FAINALI - Mazabe Powder

Hapa vijana wakijaribu kurudia miondoko ya Michael Jackson ndani ya Thriller. Mazabe hawakufanikiwa kuingia Fainali.

ROBO FAINALI - Mazabe Powder
ROBO FAINALI - Mazabe Powder
Play Video
ROBO FAINALI - Mazabe Powder

Ndani ya Robo fainali, walipagawisha majaji namna hii.