Jumanne , 30th Nov , 2021

Jeshi la Polisi Tanzania limeanza uchunguzi dhidi ya askari wanaotumia fursa ya watu kuibiwa simu kuanza kuwaomba pesa ili wawasaidie kutafuta simu hizo na hatua kali kwa askari wanaohusika na utovu huo wa nidhamu zitachukuliwa.

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini SACP David Misime,

Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 30, 2021, na Msemaji wa Jeshi hilo SACP David Misime, na kusema tangu taarifa zilizoeleza kwamba askari wamegeuza simu za wizi kuwa miradi binafsi zitolewe jeshi hilo lilianza kufuatia.

Tazama video hapa chini