Eneo la ajali
Ajali hiyo imetokea leo Machi 7, 2023 imetokea majira ya saa10:30 jioni katika Kijiji cha Mwilima karibu na mbuga ya Ibanda mpakani mwa mkoa wa Geita na Mwanza.
Na majeruhi wa ajali hiyo wanaendelea kupatiwa huduma katika hospitali ya rufaa mkoa wa Geita na kituo cha afya Kasamwa.
Basi lililopata ajali







