
Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck (kushoto) akimkabidhi jezi Luis Miquissone (kulia) kipindi alipokua akijiunga na miamba hiyo ya soka hapa nchini Tanzania.

Mashabiki wa Manchester United wakionekana kusikitika baada ya kupoteza mchezo (zamani) .

Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania, Cho Tae-Ick

Lionel Messi na Mo Salah ni miongoni mwa wachezaji 4 wanao wania tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 21

Msanii wa HipHop Roma Mkatoliki

Picha ya mkono wa mwanaume akiwa tayari ameshafariki

Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda.

Mchekeshaji Idris Sultan

Kikosi cha Namungo Fc ambacho kinaendelea kuiwakilisha nchi katika michuano ya Afrika.