CHADEMA yataja majina mengine ya wagombea wake

Jumatano , 12th Aug , 2020

CHADEMA kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni, Salome Makamba Jimbo la Shinyanga Mjini, Gibson Ole Meiseyeki kugombea Jimbo la Arumeru Magharibi, na Aboubakar Mashambo Jimbo la Bumbuli

Bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Majina hayo ya Wabunge walioteuliwa katika awamu ya pili, yametolewa hii leo Agosti 12, 2020, kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter wa chama hicho.

Tazama hapa chini orodha ya majina ya wagombea wa Ubunge walioteuliwa.