
Bi. Mwakatobe amesema kutokana na janga hilo wamechukua hatua za haraka kunusuru pato la uwanja huo lisishuke
Katika hatua nyingine Mwakatobe amesema Filamu ya Royal Tour iliyoigizwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu
Hassan yakuitangaza nchi imeongeza mapato kwa abiria kutoka 347,757 Mwaka 20209/2021 na kufikia abiria 654,159 Mwaka 2021/2022 hii ni sawa na ongezeko la asilimia 88
Kuhusu usafirishaji wa nyama Mwakatobe amesema kwa juhudi zilizofanywa na Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan zakuinua democrasia ya kiuchumi imeongeza soko la nyama hasa ikiwa ni kipindi cha kuelekea kombe la Dunia.