Jumatano , 22nd Sep , 2021

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameiondoa kesi namba 208 ya mwaka 2016 iliyokuwa inawakabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wenzake watatu wakiwemo wahariri wa gazeti la Mawio akiwemo Jabir Idrisa na Meneja wa kiwanda cha Jamana, Ismail Mehboob.

Tundu Lissu

DPP amefikia maamuzi hayo kwa kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.