Jumapili , 29th Aug , 2021

Watu wanne wamenusurika katika ajali mara baada ya gari la mafuta kuhama barabara na kwenda kugonga nyumba pamoja na nguzo ya umeme.

Picha ya lori kutoka eneo la ajali

Ajali hiyo imetokea barabara ya Mandela eneo la Mwananchi jijini Dar es Salaam, leo Jumapili Agosti 29, 2021.