
Mchezaji huyo aitwae Liam Hampson, mwili wa ulipatikana kwenye sakafu ya klabu ya usiku ya Barcelona baada ya kuanguka.
Alikuwa safarini barani Ulaya na kundi moja wakiwemo wachezaji Taifa wa raga (NRL), ambao waliripoti kuwa hajulikani alipo.
Familia ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 inasema "imevunjika moyo" na kifo chake, ambacho walikitaja kama ajali.
Liam Hampson alianguka kiasi cha umbali wa mita kumi, na alipotea kwa saa 24 kabla ya mwili wake kugundulika.