Jumanne , 22nd Jun , 2021

Waziri wa fedha na mipango nchini, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua, mwanamitindo Hamisa Mobetto , mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Samatta na mchambuzi wa soka Edo Kumwembe.

Pichani Hamisa Mobetto na Mbwana Samatta

Kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi, huku lengo likiwa ni kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.