
Baba anayetuhumiwa kumbaka mwanae
Awali mtoto huyo alifanyiwa ukatili wa kubakwa na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ami Matle, ambaye alifungwa jela miaka 30 ambapo safari hii tena Baba yake mzazi amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka mwanae.
Polisi wamemshikilia wanaendelea na uchunguzi wao wakimaliza watamfikisha mahakamani.