
Anasema moja ya ushahidi mkubwa ni hatua ya kihistoria aliyochukua Trump alipokuwa Rais kuhamishia ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Yerusalem,
Hatua iliyosababisha mvutano mkubwa kidiplomasia lakini ikakumbatiwa kwa nguvu na Israel. Hatua hiyo ilisababisha Marekani kuwa nchi ya kwanza kutambua Yerusalem kama mji mkuu wa Israel, jambo ambalo lina maslahi ya moja kwa moja kwa Wayahudi.