Ijumaa , 28th Aug , 2020

Leo Agosti 28, 2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataja wabunge waliopita bila kupingwa.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles jijini Dodoma.

Majina hayo ya wabunge yamesomwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles jijini Dodoma.

Chini ndiyo majina na majimbo ya wabunge hao.

1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi 
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa 
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa
16. Butiama - Sagini Abdallah
17. Misungwi - Alexander Mnyeti
18. Bumbuli - January Makamba