Alhamisi , 11th Nov , 2021

Familia ya Mwalimu mstaafu Hellena Waryoba, iliyoko Mtaa wa Morembe Manispaa ya Musoma inalazimika kulala nje baada ya nyumba wanayoishi kuwaka moto wa ajabu ambao unaunguza vyombo vya ndani tu bila nyumba hiyo kuwaka moto pamoja na kukuta kinyesi kwenye chakula.

Hellena Waryoba, Mwalimu Mstaafu

East Africa TV ilifika eneo la tukio na kuona jinsi ambavyo vitu hivyo vikiteketea kwa moto na ilizungumza na wanafamilia hao, ambapo wamesema hawajui ni nini hasa kinachosababisha moto huo.

Tazama video hapa chini