Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Eliakim Maswi, Kanuni za Maadili ya Watumishi wa Umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma, baada ya kuzinduliwa, jijini Dodoma.

31 Mei . 2022

Bi. Hellen akikabidhi taulo za kike katika ofisi za East Africa TV & Radio

31 Mei . 2022

(Kombe la Ligi ya Mataifa ya Ulaya, chini ya shirikisho la soka Ulaya)

31 Mei . 2022

Mhe. Neema Rugangira akichangia bungeni

31 Mei . 2022

Upande wa kulia ni picha ya Rais Samia, kushoto ni msanii Shilole

31 Mei . 2022