Jumanne , 31st Mei , 2022

Msanii Shilole amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kutunga sheria mpya zitakazowalinda na kuwatetea wanawake kwenye haki zao.

Upande wa kulia ni picha ya Rais Samia, kushoto ni msanii Shilole

Shilole amesema hilo baada ya tukio la Mwanamke Swalha kupigwa risasi 7 kichwani na mume wake huko Mwanza kisa wivu wa mapenzi. 

Zaidi mtazame Shilole akizungumzia zaidi.