Ijumaa , 4th Jun , 2021

Aliyekua Mkuu wa WIlaya Hai Lengai Ole Sabaya leo Juni 4, 2021 amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha akiwa na wenzake.

Lengai Ole Sabaya alipokuwa akifikishwa Mahakamani

Sabaya na wenzake wanapandishwa kizimbani kwa mara ya kwamba kujibu mashtaka mbalimbali yanayowakabili.

Sabaya pamoja na wenzake