
Mkuu wa mkoa wa Geita Rosemary Senyamule
Hatua hiyo imekuja baada ya usiku wa kuamkia leo Julai 14 mwaka huu, moto mwingine kuzuka na kuteketeza bweni la wavulana, ambapo pamoja na hatua hizo pia ameagiza walimu 13 wachukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kuhamishwa.
Mbali na hayo shule hiyo pia imefungwa kwa wiki mbili kwa ajili ya ukarabati ili wanafunzi watakaporudi wakute miundombinu yake imerejea katika hali ya kawaida.