Rais Samia Suluhu Hassan
Agizo hilo limekuja baada ya awali Korosho yote ilisafirishwa kupitia bandari ya Mtwara pekee. Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza.
Zaidi tazama video hapo chini
Kutokana na kupanda kwa gharama za usafirishaji wa majini (meli), Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuwa, bandari ya Dar es Salaam pia itumike kusafirishia korosho kwenda nje ya nchi.
Rais Samia Suluhu Hassan
Agizo hilo limekuja baada ya awali Korosho yote ilisafirishwa kupitia bandari ya Mtwara pekee. Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza.
Zaidi tazama video hapo chini