
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile
Hayo yamebainishwa wakati wa mafunzo maalum kwa wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mafunzo yaliyofunguliwa na Balozi wa Netherlands nchini Tanzania.
Mwenyekiti wa TEF Deodatus Balile ameeleza kuwa ni wakati wa sahihi wa vipengele hivyo kubadilika ili kuwawezesha wanahabari kufanya kazi zao kwa weledi.
Teophilo Makunga amebainisha kuwa vyombo vya habarni wadau wa maendeleo katika taifa alishikuru kwa serikali kukubali kufanya marekebisho kwenye baadhi ya vipengele vinavyowabana waandishi wa habari katika utendaji wao.
Awali Balozi wa Netherlands nchini Tanzania amebainisha kuwa vyombo vya habari ni muhimu katika kusimamia na kutetea demokrasia katika taifa lolote hasa vikifanya kazi zao kwa uhuru.