Jumapili , 29th Aug , 2021

Ubalozi wa Tanzania nchini Oman umethibitisha kuruhusiwa kwa watanzania kuingia nchini humo kuanzia Septemba 1, 2021, baada ya kuondoa katazo lililokuwepo awali. 

Uwanja wa ndege wa Muscat Oman

Moja ya masharti ambayo yameainishwa ni abiria kuwa na cheti kinachoonesha amekamilisha dozi ya chanjo ya Ukiko-19 kwa chanjo zenye dozi mbili au zenye dozi moja.

Soma taarifa kamili ya ubalozi hapo chini