Jumatatu , 15th Jan , 2024

Mwaka mpya na mambo mapya kama alivyosema Harmonize kwenye ngoma ya ‘Mwaka wangu’ imemfikia 50 Cent ambaye anasema 2024 ni mwaka wake wa kufanya kazi na project kubwa.

Picha ya 50 Cent

Rapa huyo na muigizaji anasema “Nadhani mwaka huu ni mwaka wangu, nipo makini nina project kubwa ambao nimewahi kuuchukua. Nipo tayari tufanye kazi”.

Kwa upande wa staa wa Kenya #VeraSidika ameweka wazi kuwa mwaka huu anataka kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na Mungu.