Jumatano , 10th Nov , 2021

Babalevo anasema ana jambo jipya la kuiomba Serikali na Makampuni waweze kuwashawishi Diamond na Alikiba kufanya show ya pamoja ili kujua nani mkali na kutengeneza pesa.

Picha ya msanii Babalevo, Alikiba na Diamond Platnumz

Babalevo anasema wasanii hao wametambia kwa muda mrefu hivyo ni muda wa kutengeneza pesa hivyo wapambane mkoa kwa mkoa pia itakuwa fursa ya wasanii wengine kupata pesa.

Mengine zaidi bonyeza hapa kutazama.