
Kwenye Story tatu ya Planet Bongo, East Africa Radio Galatone amefunguka hayo kwa kudai kwamba kiki zimewafanya wasanii wengi kuwa na majina makubwa huku kazi zao zikiwa ni mbovu kitu ambacho amekitafsiri ni kuchanganya mashabiki
Hata hivyo Galatone ameongeza kwamba jambo ambalo linaweza kuwamaliza wasanii wanaotegemea kiki ni kurudishwa kwa muziki wa bendi utakao lazimisha wasanii kuimba kwa kutumia vyombo na siyo kubebwa na kiki ambazo zinaua muziki wa bongo.
Msikilize hapa chini Galatone akifunguka.