Jumatano , 18th Mei , 2022

Baby Mama wa msanii Ibraah Tz kutoka Kondegang Music Worldwide, Jaqcline Cosmas 'Sugar' ametoa ruhusa kwa Ibraah kuchukua vipimo vya DNA kama haamini mtoto huyo ni damu yake.

Picha ya Ibraah, Baby mama wake na mtoto wao

Pia Mzazi mwenza huyo wa Ibraah amesema anafuatilia kwa Mwanasheria wake kuhusu kupewa Tsh Laki Tano kwa mwezi kutoka kwa Ibraah kwa ajili ya huduma za mtoto wao.

Zaidi tazama hapa kwenye video.