
Picha ya Jake Paul kushoto, kulia ni Kanye West na Pete Davidson
Jake Paul anasema pesa hizo ataziweka ulingoni kabla ya raundi ya 6, pia nia yake ni kutaka bifu hilo liishe kiume kabla ya watoto hawajapata athari zaidi.
Ripoti zinasema kwa sasa Kim Kardashian ana-date na Pete Davidson, huku aliyekuwa mume wake Kanye West anataka kulirudisha tena penzi lao.