Jumanne , 2nd Nov , 2021

Msanii Best Naso amefunguka kwamba taarifa za kuzushiwa kifo zilisababisha bibi yake kuzimia mara tatu kijijini na kuleta taharuki kubwa kwenye familia yake.

Picha ya msanii Best Naso

Best Naso anasema chanzo cha taarifa hizo za kuzushiwa kifo zilianzia kwenye mtandao mmoja kutoka nchini Kenya ambapo walipost kwamba amejinyonga.

Zaidi tazama hapa kwenye video.