Jumanne , 17th Mei , 2022

Ni video ya staa wa muziki Diamond Platnumz akionekana kukasirikishwa na mabaunsa wa jukwaani baada ya kumzuia Lukamba 'Photographer' wake asifanye shughuli zake kwenye show nchini Ivory Coast.

Picha ya Diamond akiwa kwenye mzozo na mabaunsa hao

Video kamili hii hapa Diamond akiwa kwenye mzozo na mabaunsa hao mpaka kuwatishia kwamba hataendelea kuimba iwapo hawatamruhusu Lukamba kufanya kazi yake stejini.

Zaidi tazama hapa kwenye video.