Alhamisi , 25th Jan , 2024

Rapa Lil Wayne anaamini aliyekuwa member mwenziye wa Young Money Entertainment Drizzy Drake anachukiwa sababu ya ngozi yake kuwa Light-Skinned.

Picha ya rappers Lil Wayne na Drake

Akipiga story kupitia Podcast ya Richard Sherman, Lil Wayne anasema tangu enzi historia ya Marekani inaonesha kuchukia wenye rangi ya ngozi kama Drake kwa sababu hata yeye sio Light Skinned ndio maana hachukiwi.