
Picha ya Pamoja Mama Janeth na Harmonize
Harmonize ame-share picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na Mama Janeth kwa mara ya kwanza tangu kifo cha Rais kilipotokea mwezi Machi 17, 2021 na kuandika ‘’(4) ever love (JPM) endelea kupumzika swahiba”.