
Picha ya msanii Harmonize
Harmonize ameshea hilo kwenye Insta story yake baada ya kuachia kazi yake inayokwenda kwa jina la teacher.
"God is good, imefika wakati Konde boy akiachia ngoma hadi Youtube yenyewe inashangaa hiki nini na kustuck kuhesabu acha tuone kinatokea nini maana sijawahi kuona" ameandika Harmonize