Jumatatu , 15th Jan , 2024

Penzi jipya town Harmonize na mrembo Poshy Queen washajipa majina mapya huko wanaenda kama Adam na Hawa.

Picha ya Harmonize na Poshy Queen

Pitia page ya Instagram ya Poshy Queen amepost picha ya Harmonize na kuandika “Adam wangu mimi hapa”.

Harmonize akacomment kwenye post hiyo akiandika “Sio tu damu hata figo nakutolea Eva, 2027 now we here. What a history to tell Nova & Zuuh Kond they must be patient”.

Wawili hao inasemekana kwa sasa wapo kwenye penzi zito baada ya kuonekana wakiwa pamoja kwenye mitoko yao sehemu tofauti tofauti.