Ijumaa , 17th Dec , 2021

Unaambiwa Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya 'Patek Philippe Tiffany Blue Nautilus 5711' yenye thamani ya Dola Milioni 6.5 sawa na Tsh Bilioni 14.

Jay Z akiwa amevaa saa hiyo mkononi mwake

Saa hiyo ambayo inatajwa kuwa na gharama kubwa duniani ameonekana nayo siku za hivi karibuni wakati anaitangaza filamu yake ya The Harder They Fall kupitia Netflix, vuta kushoto kumuona akiwa na saa hiyo.