Jumanne , 28th Jun , 2022

Msanii Kayumba Asosie amenyoosha maelezo madai ya taarifa za kusainiwa lebo ya Kings Music Records ya Alikiba kwa kusema chochote kinaweza kutokea.

Kushoto ni Alikiba, kulia ni Kayumba

Zaidi akielezea taarifa hiyo bonyeza hapa kutazama.