Jumatano , 27th Oct , 2021

Mtayarishaji wa muziki Lizer Classic amejibu tuhuma za ku-copy wimbo wa 'Naazaje' alioimba nyota wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa kusema kuwa miziki yote duniani ni copy kinachofanyika ni kuboresha tu.

Picha ya Mtayarishaji Lizer

Unaweza kutazama video kamili kupitia youtube ya #EastAfricaTV