Jumamosi , 3rd Feb , 2024

 Kuhusu uwezo Alikiba na Diamond Platnumz Producer Master J anasema “Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabisa. Kuna kuimba na ku-entertain".

Master J ndani ya Planet Bongo East Africa Radio.

Zaidi tazama hapa kwenye video Master J akizungumzia hilo.