MB Doggy
ukuaji wa mitandao ya kijamii, ni kati ya mambo ambayo yamekuwa ni changamoto kwa wasanii wa zamani kuendelea kufanya vizuri sasa.
MB Dogg ametolea mfano wa kipindi cha nyumba ambapo rekodi zake zilikuwa zikipelekwa redioni bila hata yeye binafsi kufika na kuweza kufanya vizuri bila hata msanii ama uongozi wake kutumia jitihada nyingine zozote zile.