Jumanne , 21st Sep , 2021

Mchekeshaji MC Pilipili anasema kwa sasa anahamia kwenye kazi ya utumishi wa Mungu ikiwa ni agizo aliomuachia marehemu mama yake mzazi.

Picha ya mchekeshaji Ebitoke

MC Pilipili anasema mwaka mmoja kabla ya kifo cha mama yake alimuandikia barua ya kumwambia ikifika muda mungu akimuita kuhubiri injili basi aende yeye pamoja na mke wake.

Zaidi mtazame hapa chini akiizungumzia kazi yake hiyo mpya.