Jumanne , 18th Jan , 2022

Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.

Picha ya Rose Muhando

Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022.

"Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye ela".