Ijumaa , 14th Oct , 2022

Rais Wa Kitaa Nay Wa Mitego amekana kuwahi kutoka kimapenzi na msanii Gigy Money akisema huenda watu wanahisi hivyo kutokana na uropokaji wa kauli zake. 

Nay Wa Mitego amesema ukaribu wake na Gigy Money umesababishwa baada ya kumtumia kama 'Video Vixen' wa ngoma yake ya Akadumba wakati anasoma shule ya Sekondari. 

Zaidi mtazame hapa Nay Wa Mitego akijibu issue hiyo.