Jumatano , 1st Jun , 2022

Mrembo Poshy Queeen amesema anatamani kufahamika kama mfanyabiashara au mama na sio sifa za kuwa na umbo la shepu zuri kama mashabiki wanavyomtafsiri.

Picha ya Mrembo Poshy Queen

"Inawezekana nilikuwa mwembamba lakini nilikuwa na shepu, watu wanahitaji kunijua zaidi kama 'Business Woman' au mama tofauti na hivi kwamba yule mdada mwenye shepu, ujue kila mtu ana shepu bana ila napenda kuitwa Mama najisikia vizuri".

Zaidi tazama hapa kwenye video.