Jumanne , 23rd Nov , 2021

Msanii Aboubakary Katwila Q Chief ameweka wazi kwamba amepitia changamoto nyingi tangu ameingia kwenye ndoa jambo ambalo limemfanya kumkondesha mwili wake.

Picha ya msanii Q Chief

Q Chief ameongeza kusema jambo lingine lilomfanya kukonda ni changamoto binafsi za maisha yake mpaka kusababisha kukaa kimya kwa muda wa mwaka mmoja kwenye game.

Zaidi mtazame hapa Q Chief akizungumzia hilo.