
msanii wa muziki Alisha Popat
Onesho hilo lililobatizwa jina 'Fushion Night' litafanyika jijini Nairobi mnamo tarehe 13 mwezi Septemba mwaka huu litawahusisha wanamitindo na wasanii nyota wakiwemo Dan 'Chizi' Aceda, Alisha Popat, Wanny Angerer na Cindy Ogana.
Aidha wanamitindo ambao wataonesha mavazi yao mbele ya jukwaa wamo Kiko Romeo, John Kaveke, na wengineo wengi.
