Jumatano , 5th Oct , 2022

Msanii wa singeli D Voive Ginnii amewachana wasanii wakubwa wa mziki huo kwa kusema wanamzidi majina tu na hawaelewi wanaimba nini.

Picha ya msanii wa singeli D Voice Ginnii

D Voice ametoa kauli hiyo baada ya wakongwe wa mziki wa singeli ku-diss wasanii wa sasa kwamba wanavunja misingi halisi ya mziki huo kwa mfano mwanaume kuimba kama mwanamke. 

Zaidi mtazame hapa chini D Voice akielezea suala hilo.