Jumatatu , 30th Mei , 2022

Ni headlines za staa wa filamu Bongo Wema Sepetu akiugulia maumivu wakati anachoma sindano kwenye mishipa ya mkononi.

Picha ya Wema Sepetu akiwa anachoma sindano

Pia kupitia post yake ya Instagram Wema Sepetu ameweka taarifa kuhusu kuumwa kwake kwa kuandika "Too Sick".

Zaidi mtazame hapa akilia wakati anachoma sindano hiyo.