Jumatatu , 13th Dec , 2021

Kwenye PlanetBongo ya East Africa Radio Dullah Planet amemuuliza paka rapa Young Dee kuhusu ushkaji wake rapa Country Wizzy ambaye walikuwa wote kwenye kundi la Mtu Chee miaka ya nyuma.

Young Dee kulia, kushoto ni Country Wizzy

Young Dee amejibu kwamba anampenda sana Country Wizzy, yupo real, sio mchoyo, ana love ya ukweli na mtaaa, hajawai kubadilika, yupo humble, napenda movement zake, anakuwa kila siku na anazidi kubaki pale.

PlanetBongo ya East Africa Radio kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.